Kutekeleza nadhiri

Egypt's Dar Al-Ifta

Kutekeleza nadhiri

Question

Mwanamke ameweka nadhiri kufunga kwa ajili ya Mwenyezi Mungu siku za jumatatu na alhamisi katika uhai wake wote, lakini mume wake alimzuia kutokana na uzito mkubwa, je ni lazima atekeleze nadhiri yake? 

Answer

Ikiwa mwanadamu hawezi kutekeleza nadhiri basi anapaswa kutoa kafara ya kiapo, kwa vile mume anakataa mke wake kufunga kwa sababu ya uzito mkubwa basi mwanamke anapaswa kumtii mumewe, hivyo asifunge na badala yake atoe kafara ya kiapo, kwa kauli ya Mtume S.A.W:

 “Mwenye kuweka nadhiri bila kutaja nadhiri yake basi kafara yake ni kafara ya kiapo, na mweye kuweka nadhiri asiyoweza kuitekeleza kafara yake ni kafara ya kiapo”. Kitabu cha Sunani Al-Kubraa cha Baihaqy.

Share this:

Related Fatwas