Njia za mafunzo ya kijeshi kwa wapi...

Egypt's Dar Al-Ifta

Njia za mafunzo ya kijeshi kwa wapiganaji wa makundi ya kigaidi

Question

Ni zipi njia muhimu za mafunzo ya kijeshi kwa wapiganaji wapya wa makundi ya ugaidi?

Answer

Unazingatiwa kudanganywa kupata baadhi ya wanawake ni kitu muhimu katika mafunzo ya kijeshi ya wapiganaji wa kigaidi ili kujiunga  kwenye makundi, jambo ambalo linachangia ongezeko la idadi ya waajiriwa chini ya bendera yao, katika hali ya mtandao wa “isis” tunakuta tukiao la “Ndoa za Jihadi” na kuhamisha wasichana wengi kutoka nchini Tunisia Algeria Ubelgiji Ufaransa na kupelekwa nchini Syria na Iraq ili kujiunga na hayo makundi ya kigaidi, miongoni mwa yanayoelezewa na hao wanawake kuhusu namna walivyochukuliwa kwa jina la Jihadi na Uislamu ni dalili nzuri ya makundi haya kutumia wanawake ili kufikia malengo yao kupitia tafasiri zenye makosa ya maana ya Jihadi katika Uislamu ili kuwavisha wenye elimu ndogo na akili miongoni mwa vijana Waislamu dini yao, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa kundi la “isis” limewageuza wanawake 1500 na baadhi ya vijana kuwa watumwa wa ngono, hata baadhi ya wanawake waliweza kuuzwa kama mateka wa kike. Haya ni matusi katika ubinadamu na kuingia katika uhalifu wa “Biashara ya uuzaji watu” na Wanachuoni wa Sharia wamesema kuwa haifai biashara ya kuuza watu, na kila mtu kwa mujibu wa makubaliano ya Kimataifa yupo huru na wala si sehemu ya kuuzwa na kununuliwa, na Waislamu wamesaini makubalino ya Kimataifa ambayo yanapelekea kumaliza utumwa wa watu, na hilo lilikuwa limekubaliana na yale yaliyotakiwa na Uislamu miongoni mwa njia za kubana mizizi yake na kupanua milango ya kuacha huru ili watu wote wawe huru kama Alivyowaumba Mwenyezi Mungu.

Share this:

Related Fatwas