Kununua kwa njia ya benki.
Question
Ipi hukumu ya kununua gari au nyumba kwa njia ya benki?
Answer
Kununua gari na nyumba kwa njia ya benki ni jambo linalofaa Kisharia wala hakuna uharamu ndani yake, ni sawa sawa benki ikiwa ni chombo cha kati katika kusimamia makubaliano kati ya mteja na muuzaji au ikiwa ulipaji ni fedha taslimu, katika hilo hakuna uhusiano na riba.