Upigaji picha na kuchora

Egypt's Dar Al-Ifta

Upigaji picha na kuchora

Question

Ni ipi hukumu ya kupiga picha na kuchora?

Answer

Upigaji picha na kuchora ni sanaa nzuri zinazoonesha ubunifu wa binadamu, nazo ni njia mbili muhimu za elimu na nyaraka. Ni mambo mawili ambayo yanaruhusiwa kwa mujibu wa sharia ya Kiislamu. Kwa sharti la mtu kufuata udhibiti na maadili na adabu ya fani ambayo huainisha madhumuni ya kuchora na kupiga picha.

Share this:

Related Fatwas