Kuuza kwa malipo awamu

Egypt's Dar Al-Ifta

Kuuza kwa malipo awamu

Question

Inaruhusiwa kununua gari kwa awamu kutoka benki?

Answer

Inaruhusiwa kisheria kuuza kwa awamu badala ya ongezeko la bei ya bidhaa. Kwa sharti kwamba malipo ni ya muda maalumu na kwamba bei ya jumla imebainishwa.

Pia hakuna ubaya kwa shughuli hii kufanywa kupitia benki (kama mfadhili), kwani hali hii haichukuliwi kuwa mkopo ambao hutoa faida ili kuzingatiwa riba, ambayo ni marufuku. Kwa sababu msingi wa kisheria ni kwamba “bidhaa ikiwa katikati basi hakuna riba,” hivyo mtu akinunua gari kwa awamu kupitia benki kwa malipo ya kupandishiwa bei yake inajuzu kwa mujibu wa sharia na hakuna ubaya katika jambo hilo.

Share this:

Related Fatwas