Ni ipi hukumu ya kutoa khutba kabla ya swala na pia kwenye kaburi baada ya kuzikwa?
Nini hukumu ya kusimama kwa ajili ya Jeneza?
Ni ipi hukumu ya kuaga maiti na ni mahitaji gani yanayopendekezwa na adabu za jumla kwa hilo?
Ni ipi hukumu ya kumswalia maiti kwa pamoja kwenye kaburi lake?
Je, mtu aliyekufa anahisi kwamba kuna mtu anamtembelea na kumsalimia?
Je, ni vipi vidhibiti vya kisharia vya kumzika aliyekufa?