Makusudio ya watu wa ukumbusho.

Egypt's Dar Al-Ifta

Makusudio ya watu wa ukumbusho.

Question

Ni nani hao watu wa ukumbusho, na je wanakusudiwa Wanachuoni wa dini tu?

Answer

Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema:

{Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui} An-Nahli:  43. Kusudio la watu wa ukumbusho: Ni watu weledi na elimu pamoja na uzoefu katika nyanja zote za elimu, na hii inazingatiwa ujumla wa tamko la Aya Tukufu na wala si sababu maalumu, na tamko la kubeba ujumla ni bora kuliko kuja tamka maalumu, huingia watu wake kila elimu katika elimu za dini au za dunia, na kuhusishwa watu wa ukumbusho au watu wa elimu katika    Aya kwa kutamkwa kunapelekea uharamu wa kuwauliza wengine wasiokuwa watu weledi.  

Share this:

Related Fatwas