Mahusiano mema kati ya mume na mke

Egypt's Dar Al-Ifta

Mahusiano mema kati ya mume na mke

Question

Ni vipi vigezo vya kulinda uhusiano mwema kati ya mume na mke?

Answer

Hukumu za Kisharia zinazohusiana na maisha ya mume na mke hazichukui njia ya kutafuta kwa wote wawili maandiko ya Kisharia ambayo yanaelezea mipaka ya haki na wajibu, au siku zote kumfanya mmoja kuwa sahihi mwingine kuwa ni mwenye makosa ambapo kuifanya dini chombo cha kukandamiza upande mwingine na kumfanya mnyenyekevu wa matamanio yake bila ya kutekeleza wajibu ambao unampasa.

Hivyo maisha ya ndoa yamejengwa kwenye msingi wa utulivu huruma upendo na kuchunga hisia za kila upande kwa mwenzake zaidi ya kujengwa kwake kwenye msingi wa kutaka haki.

Share this:

Related Fatwas