Kulipa deni ikiwa ni dhahabu.
Question
Nilichukuwa kwa mmoja wa rafiki zangu baadhi ya vitu vya dhahabu kwa njia ya mkopo ni muda mrefu umepita ni vipi namrudishia hivi sasa?
Answer
Anapaswa mwenye kudaiwa dhahabu ambayo alichukuwa kwa mdai kulipa dhahabu kwa kiwango hicho hicho na aina hiyo hiyo aliyochukuwa, au alipe thamani yake wakati wa kurejesha ikiwa watakubaliana iwe hivyo.