Kuiba fikra na ubunifu

Egypt's Dar Al-Ifta

Kuiba fikra na ubunifu

Question

Ni iipi hukumu ya kuiba fikra na ubunifu?

Answer

Kuiba fikra na ubunifu katika Nyanja zote ni haramu kisharia ya Kiislamu, na inalinda haki miliki kama inavyolinda mali za watu; kuiba vikra ni kuvamia haki za watu wengine na kuwadhuru, Uislamu umezuia madhara kwa kauli ya Mtume S.A.W.: “Usidhuru wala usijidhuru” imepokelewa na Imamu Ahmad katika Musnad wake.

Pia sharia ya haki miliki imemlinda mtu wake katika njanja hizi, na kuweka adhabu zitakazomzuia mwizi wa fikra na ubunifu.

Share this:

Related Fatwas