Kusoma Surat Al-Sajdah na Al-Insan ...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kusoma Surat Al-Sajdah na Al-Insan katika Swala ya alfajiri siku ya Ijumaa

Question

Nini hukumu ya kudumu katika kusoma Surat Al-Sajdah na Al-Insan katika Swala ya Alfajiri siku ya Ijumaa?

Answer

Kuendelea kusoma Surat Al-Sajdah na Al-Insan wakati wa Swala ya Alfajiri siku ya Ijumaa ni miongoni mwa Sunna alizokuwa akizifanya Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) na akaendelea kufanya hivyo.

Na Mwenyezi Mungu pekee ndiye Anayejua Zaidi.

Share this:

Related Fatwas