Kusherehekea Israa na Miraji

Egypt's Dar Al-Ifta

Kusherehekea Israa na Miraji

Question

Ni nini ukweli wa kusherehekea Irsaa na Miraji siku ya Ishirini na Saba mwezi wa Rajabu?

Answer

Rai linalokubalika kutoka kwa maoni ya wataalamu wa zamani na wa kisasa ni kwamba Israa na Miraji ilitukia usiku wa ishirini na saba mwezi wa Rajabu, kwa hiyo waislamu husherehekea kumbukumbu hili katika tarehe hiyo kwa kufanya aina mbalimbali za ibada na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu ni jambo linaloruhusiwa na kupendekezwa kisheria kwa kuelezea furaha kwa Mtume (S.A.W.) na kumtakasa, ama maoni zinazowakataza waislamu kusherehekea tukio hilo adhimu ni maoni finyu yasiyo na ukweli na mitazamo batili za kubuniwa na wenye kuzusha bidaa, kwa hiyo haihuzu kuifuata wala kuitegemea. 

Share this:

Related Fatwas