Mwenye jukumu la rehani kutumia seh...

Egypt's Dar Al-Ifta

Mwenye jukumu la rehani kutumia sehemu rehani.

Question

Ipi hukumu ya mwenye jukumu la rehani kutumia sehemu ya rehani?

Answer

Kisharia mwenye rehani haifai kwake kutumia rehani isipokuwa ikiwa amelipia thamani ya manufaa ambayo yamepatikana kwayo ikiwa amedhamini thamani pindi rehani inapokuwa na thamani maalumu, na kama si hivyo basi inakuwa ni kula mali za watu kwa njia batili, na Mwenyezi Mungu Mtukufu amekataza hilo kupitia kauli yake:

{Enyi mlio amini! Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipokuwa iwe biashara kwa kuridhiana wenyewe. Wala msijiue. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwarehemuni * Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu} An-Nisaai: 29 – 30.

Kwa sababu hii inakuwa ni upande wa deni ambalo lina manufaa, nayo ni riba,

Share this:

Related Fatwas