Bima ya gari kiwanda na wafanya kazi dhidi ya baadhi ya hatari.
Question
Je Kisharia inafaa kukata bima ya gari kiwanda na wafanya kazi dhidi ya baadhi ya hatari?
Answer
Kisharia hakuna zuio kutumia mfumo wa bima za aina zote, na tunatumai kuongezeka mzunguko wake kila linavyowezekana ili huduma hiyo isambae kwa watu wote ambao bado hawajapata, na gharama za ushiriki za mwezi au mwaka ziwe zinazokubalika, na iwe ni lazima kwa baadhi ya maeneo ili watu wote wazowee kuhifadhi fedha na kutoa.