Ulanguzi
Question
Je kutoa Sadaka fedha za faida itokanayo na biashara kunafuta dhambi za ulanguzi?
Answer
Mfanya biashara ambaye anafanya ulanguzi wa bidhaa na kuuza kwa bei ya juu kwa hoja kuwa faida iliyozidi katika bei atatoa sadaka kwa watu masikini ni dhambi Kisharia, ni sawa sawa faida hiyo ameitoa Sadaka au hapana.