Kuwanunulia mahitaji wanaostahiki k...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kuwanunulia mahitaji wanaostahiki kupewa Zaka ya mali

Question

Je, inafaa kutumia mali ya Zaka kununua bidhaa na kuzigawa kwa watu masikini na wenye mahitaji?

Answer

Asili katika ibada ya Zaka ni kutolewa mali ya mtoa Zaka, Imamu Abu Hanifa amejuzisha kutoa thamani ikiwa hiyo ina manufaa zaidi kwa masikini, kisha kutoa sehemu ya mali ya Zaka katika sura ya bidhaa ya chakula na kuwapa masikini na wenye mahitaji ni jambo linalofaa Kisharia na wala hakuna tatizo lolote ndani yake, lakini kwa mwenye kutoa Zaka anatakiwa kuangalia kilicho na manufaa zaidi kwa watu masikini ndicho akitoe.

Share this:

Related Fatwas