hukumu ya mwanamke kushiriki kazi z...

Egypt's Dar Al-Ifta

hukumu ya mwanamke kushiriki kazi za utoaji Fatwa

Question

Ipi hukumu ya mwanamke kushiriki kazi za utoaji Fatwa pamoja na mambo ya tafiti?

Answer

 Kazi katika ofisi ya Mufti wa Misri inashirikisha mwanamke kwa nguvu kubwa pamoja na kumpa nafasi sawa na uwezo wake wa kielimu na kikazi.

Hakuna shaka kuwa viwango vya kielimu ili kusimamia kazi za utoaji Fatwa vinahitajika katika kusimamia kazi hizo, na miongoni mwa mifano maarufu ya kazi hiyo ni Mama wa Waumini Bibi Aisha na Bibi Hafswa pamoja na Bibi Ummu Salama Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe kwao wote. Fatwa ilikuwa ikitolewa kwa kupitishwa na Mwanachuoni wa kike wa Madhehebu ya Abu Hanifa Bibi Fatuma na baba yake Alauddiin Al-Samarkandy Al-Hanafy, na mume wake Imamu Al-Kasany Al-Hanaffy (Wao watatu)

Share this:

Related Fatwas