Ipi hukumu ya Zaka ya ardhi iliyoandaliwa kwa ujenzi ?
Ardhi iliyonunuliwa kwa lengo la ujenzi haina Zaka, ni sawa sawa ujenzi wake ni nyumba ya makazi binafsi, au kwa lengo la kuuza nyumba zilizojengwa baada ya ujenzi wake.