Kulipa Swala zilizokupita ni kwa ha...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kulipa Swala zilizokupita ni kwa haraka au muda baada ya muda

Question

Umenipita muda mrefu si swali, kisha nikatubu kwa Mwenyezi Mungu, nataka kulipa Swala hizi, je! nazilipaje?

Answer

Kunapasa kwa mwenye kuacha Swala ya faradhi kuilipa siku hiyo hiyo kwa mpangilio isipokuwa zikiwa zaidi ya tano, zikiwa nyingi atalipa kila Swala katika wakati wa Swala ailipayo; kwa kauli ya Mtume S.A.W. “Deni la Mwenyezi Mungu linahaki zaidi kulipwa” Hadithi hii ni Mutafaqun Alayhi, na kauli ya Mtume S.A.W. “Mwenye kusahau Swala basi aswali atakapoikumbuka, hana kafara isipokuwa kuilipa” Hadithi hii ni Mutafaqun Alayhi.

Share this:

Related Fatwas