Kupokea fidia kutoka kwa kampuni ya bima
Question
Ni ipi hukumu ya kupokea fidia kutoka kwa kampuni ya bima?
Answer
Fidia ya kifedha ambayo makampuni ya bima yanalazimika kulipa inaruhusiwa kwa mujibu wa sheria. Kwa sababu ni haki zinazotokana na mikataba halali ya Sharia, na tafiti sahihi za kitaalamu ambazo hazijumuishi udanganyifu, madhara na mambo mengine ambayo Sharia inakataza.