Muda wa kuisha kulea yatima.
Question
Upi umri au muda
Answer
Kule yatima ni miongoni mwa ibada kubwa, kwa sababu katika hilo kuna kuondosha unyonge kwa yatima, na kusimama nafasi ya familia yake ambayo ameipoteza, na hakika unaondoka unyonge kwa yatima kujitegemea na kuweza kujisimamia mwenyewe, na hili linafanya kwamba uyatima hauishi kwa kubaleghe tu, bali unaendelea mpaka aweze kujittegemea na kuendesha mambo yake na kujitafutia; malezi yanaendelea muda wa kuwa yanahitajika, na thawabu zake zinaendelea muda wa kuwa sababu zake zipo, na kutazama katika jambo hili na muda wake kunatofautiana kwa kutofautiana zama, sehemu na hali, bali kunatakikana kufikia malengo haya japo zikitofautiana njia katika kufiki hilo.
Na Mwenyezi Mungu ni Majuzi zaidi.