Kuombewa na Mtume S.A.W

Egypt's Dar Al-Ifta

Kuombewa na Mtume S.A.W

Question

Ipi hukumu ya kuomba kupitia   Mtume S.A.W?

Answer

Kumuomba  Mwenyezi Mungu na Mtume S.A.W ni jambo la Kisharia, limefanywa na Waislamu waliotangulia na wasasa, wala haifai kulipinga, hilo limeoneshwa na Maandiko mengi ndani ya Kitabu na Sunna na yaliyoandikwa na Wanachuoni ndani ya vitabu vyao, na miongoni mwa yaliyokuja katika uhalali wa hilo, ni Hadithi iliyopokewa na An-Nasaai na Tirmidhi pamoja na Ibn Maja na wengine, kuwa Mtu mmoja alikuja kwa Mtume S.A.W na - mtu huyu alikuwa kipofu – akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu mimi nimepatwa maradhi kwenye macho yangu, basi naomba uniombee duwa kwa Mwenyezi Mungu, Mtume S.A.W akamuambia:

“Tawadha na Swali rakaa mbili kisha sema:

Akasema: “Ikiwa una mahitaji fanya kama hivyo”. Basi Mwenyezi Mungu akamrudishia macho yake.

Share this:

Related Fatwas