Kubadilisha dhahabu mpya na ya zama...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kubadilisha dhahabu mpya na ya zamani.

Question

Je inafaa kubadilisha dhahabu ya zamani na mpya?

Answer

Kisharia hakuna kizuizi kubadilisha dhahabu ya zamani au iliyovunjika kwa dhahabu mpya au iliyopigwa chapa pamoja na kuhusisha kulipa tafauti ya thamani kati ya dhahabu hizo mbili pasi ya sharti la kuchukuwa thamani ya zamani kwanza, kisha baada ya hapo kulipa thamani ya dhahabu mpya, ambapo thamani imepanda na kufikiwa maana ya kupigwa chapa ambayo hupelekea kama bidhaa yeyote ile ambayo haina haramu ndani yake kupandishwa thamani wala kuuzwa kwa malipo ya baadaye.

Share this:

Related Fatwas