Sala ya sunna ya Ijumaa

Egypt's Dar Al-Ifta

Sala ya sunna ya Ijumaa

Question

Ni nini hukumu ya sala ya sunna kabla ya sala ya Ijumaa?

Answer

Wataalamu wa umma wa zamani na wa kisasa wamekubaliana kuwa sala ya sunna ya kabla ya sala ya Ijumaa inaruhusiwa na kupendekezwa, aidha, imesimuliwa kuwa Mtume (S.A.W.) aliisali pamoja na maswahaba na wahanga wema (R.A.), inapendekezwa ziwe rakaa nne inasaliwa mbili mbili.

Share this:

Related Fatwas