Zaka ya mali za bima.
Question
Ni zipi Zaka za mali za bima?
Answer
Hakuna Zaka kwenye mali ya bima isipokuwa baada ya kuimiliki, kwa sababu haingii kwenye umiliki kamili wa mwenye fedha isipokuwa pale anapoipata, wala hakuna Zaka kwa Muislamu kwenye mali asiyoimiliki kikamilifu, baada ya kuipata mali mwenye kutoa Zaka anakutana na mwaka mpya na kuitoa zaka pale inapofikia kiwango na kukamilika masharti ya Zaka.