Je, inafaa kutumia mali ya Zaka kununua bidhaa na kuzigawa kwa watu masikini na wenye mahitaji?
Soma zaidi....
Ipi hukumu ya kufuata kalenda ya nyakati za Swala inayotolewa na mamlaka ya Utafiti ya Misri?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya mtu aliyemwahaidi Mwenyezi Mungu jambo Kisha akaenda kinyume na ahadi yake?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya asiye na udhuu kuugusa mshafu ulioandikwa kwa mfumo wa Braille kwa vipofu?
Soma zaidi....
Je, ni wakati gani wa kutoa Zaka juu ya fedha za biashara na ni ipi hukumu ya kukata ushuru kutokana na faida?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kutenga fungu maalum la zaka kuwasaidia wenye madeni na kuhudumia jamii?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kubadilisha nia katika Swala kutoka faradhi kwenda Sunna au kinyume?
Soma zaidi....
Je, inajuzu watoto waswali bila ya kutia udhu wala kuvaa hijabu kwa watoto wa kike wakiwa wanafundishwa Swala?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kusoma Basmala kwa sauti mwanzoni mwa Sura ya Al-Fatiha katika Swala?
Soma zaidi....
Ni nini hukumu ya kukidhi mahitaji ya watu masikini ya nyama na kuku kutokana na mali za zaka?
Soma zaidi....
Muulizaji hutokwa na vimkojo baada ya kutawadha na katika Swala, na anauliza: Je! Atawadhe tena na Swala? Na akisoma Qur`ani nje ya Swala na akatokwa na vimkojo, Je! Aendelee kusoma?
Soma zaidi....
Umenipita muda mrefu si swali, kisha nikatubu kwa Mwenyezi Mungu, nataka kulipa Swala hizi, je! nazilipaje?
Soma zaidi....
Je, inajuzu kulipa fidia kutoka kwa aliyekufa na inabidi kufunge kutokana na maradhi?
Soma zaidi....
Je, inajuzu kutumia zaka kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo, uvimbe, na magonjwa sugu ya damu ambao wanahitaji mifuko ya damu ambayo hawawezi kumudu?
Soma zaidi....